TAMAA YA MKE WANGU | FULL MOVIE | FILAMU MPYA YA KISWAHILI 2026 — Transcript
Full transcript
- 0:00nitajifanya kuomba kazi humu.
- 0:03Nina uhakika hakuna atakayenigundua mimi
- 0:06ni nani.
- 0:08Walinzi hawafanyi kazi yao siku hizi
- 0:10wamekuachaje umeingia ndani?
- 0:12>> Samahani nimekuja kuomba kazi.
- 0:15>> Kuomba kazi? Hujasoma vigezo pale nje?
- 0:18Ninavyokuona hujakidhi hata kimoja.
- 0:21>> Ungenisikiliza kwanza dada. Hapana dada
- 0:25yangu nimesoma na nimeona nimekidhi
- 0:28labda nikuonyeshe vyeti vyangu.
- 0:29>> Hakuna haja.
- 0:31>> Nilikwambia yule hawezi kurudi tena hapa
- 0:35maana mwezi umeshapita.
- 0:37>> Kwa hiyo niache kumtafuta
- 0:39>> inabidi usahau uwepo wake.
- 0:42>> Na vipi kuhusu ndugu zake wakitaka mali?
- 0:48>> Nimeshaandaa vyeti tayari. itaonekana
- 0:51mali zote aliandika kwa jina lako.
- 1:00[muziki]
- 1:03Nimeshajiridhisha kuwa mjomba na mke
- 1:05wangu walipanga ule mpango.
- 1:10Hata ile siku nimekula kile chakula
- 1:13kumbe ndio walipanga waninimalize
- 1:16ila tamaa hizi.
- 1:18Sikiliza Enok nimeshafanya maamuzi
- 1:20nataka nimfundishe mke wangu na mjomba
- 1:23utafanyaje?
- 1:28>> Nimefurahi alivyopiga magoti.
- 1:31>> Wewe kijana umetumwa uje kutuchunguza
- 1:33sio?
- 1:35>> Hebu acha kujiliza wewe ni wa kiume.
- 1:39>> Hebu amka hatuna kazi hapa.
- 1:43>> Naombeni kazi hata kama mshahara ni
- 1:45chakula tu.
- 1:47>> [kicheko]
- 1:50[mihemo]
- 1:52>> Huyu anaonekana kweli anataka kazi.
- 1:55Tumpe kazi ngumu ngumu.
- 2:01Hata kama wewe ni maskini ndio utuvalie
- 2:03nguo za kutengenezea magari.
- 2:05>> Samahani tajiri kesho nitavaa zingine.
- 2:08Nadhani umeshaona jinsi ilivyokuwa ni
- 2:10rahisi kudhulumu mali za mtu mjinga.
- 2:13>> Kweli nimeamini. Sikudhani kama ingekuwa
- 2:16rahisi hivi.
- 2:19Moyo wangu unakuwa na wasiwasi
- 2:20ninapokaribiana na huyu mfanyakazi.
- 2:22>> Vipi tumfukuze anakukera kipenzi?
- 2:25>> Hapana sijamaanisha hivyo.
- 2:28Unaona ulivyopendeza leo
- 2:29>> m
- 2:30>> halfu kwa mbali sana umefanana na mume
- 2:32wangu.
- 2:34>> Mume wako?
- 2:35>> Yule mzee au? [kicheko]
- 2:38>> Fanya kama hukusikia.
- 2:40Mume wangu amefariki mwezi uliopita m
- 2:43>> ila kiukweli umefanana naye sana.
- 2:48>> Wewe umejuaje kama amepoteza maisha?
- 2:52>> Huwezi kuelewa kwa sasa. Fanya kazi
- 2:54kijana maskini
- 2:58hafu sikiliza [muziki] baadaye utakuja
- 2:59chumbani kwangu. Kuna kazi nitakupatia.
- 3:02Sawa boss.
- 3:04>> Usini boss niite jina [muziki] langu.
- 3:10>> Kaka kuna kitu nataka nikushirikishe.
- 3:17Yule mwanamke ameniita baadaye kwake
- 3:23vizuri [muziki] sana.
- 3:25utaenda
- 3:28ndio itabidi niende ila nahisi ananitaka
- 3:33unamaanisha nini mkuu
- 3:38vipi amegundua wewe ni mume wake hapana
- 3:41anajua mimi niomba omba ila alisema
- 3:43anahisi nimefanana na mume wake.
- 3:49>> Mi nina wasiwasi kuwa mume wangu bado
- 3:51yupo karibu yetu. Ondoa hofu kila kitu
- 3:55kitakuwa sawa.
- 3:57>> Baada ya uchelewe kidogo kurudi nyumbani
- 3:59kuna surprise yako.
- 4:03>> M nina wasiwasi. [kicheko]
- 4:08>> Unakumbuka nilikuambia unafanana na mume
- 4:10wangu?
- 4:12>> Ndio nakumbuka madam.
- 4:17>> Yule mzee sio mpenzi wangu ila inabidi
- 4:20inabidi niwe naye kwa sasa. [muziki] ila
- 4:22kiukweli sina hisia naye.
- 4:27>> Pole sana madam.
- 4:29>> Basi jiongeze unataka niseme kila kitu.
- 4:32Unamaanisha nini boss?
- 4:38>> Sijakuita kwa ajili ya kutengeneza taa
- 4:40humu ndani.
- 4:42>> Umeniita kufanya nini madam?
- 4:50>> Jiongeze kabla yule mzee hajarudi. Basi
- 4:54>> siwezi fanya hivyo. Utanisamehe boss.
- 4:58utabaki maskini maisha yako yote.
- 5:04>> Ungejua kama mimi ni mumeo sijui
- 5:06ungefanya nini. Kwa nini unatamaa sana
- 5:09mke wangu?
- 5:13>> Yule mfanyakazi tumfukuze haiheshimu
- 5:16hata kidogo.
- 5:18>> Kwa nini kipenzi unasema hivyo?
- 5:21>> Ananikera tu nikimuona.
- 5:23Kwanza nahisi ni mume wangu maana
- 5:25amefanana naye sana.
- 5:27Hapana punguza jaziba kwanza.
- 5:31Angekuwa mumeo asingekuwa zuzu kama vile
- 5:35pia asingekuwa ombaomba. Sawa.
- 5:38>> Nakupenda sana kipenzi.
- 5:43Una uhakika unanipenda kuliko yule
- 5:45bwege?
- 5:46>> Ndio.
- 5:53>> Kwa nini umenizuia getini binti?
- 5:56[kicheko]
- 5:57>> Umekuja kuleta uchawi humu hapa hauingii
- 5:59ndani.
- 6:00>> Ah
- 6:02tangu lini nimekuwa mchawi mimi? Basi
- 6:05niache nikamuone mwanangu. [kicheko]
- 6:07>> Mwanao hatunaye tena duniani. Haya nenda
- 6:09kaomboleze kijijini kwenu.
- 6:13Kwa nini hukutuambia nyumbani?
- 6:16Mumemhifadhi wapi?
- 6:23>> Sikiliza binti kama nilivyokuambia dawa
- 6:26inawekwa kwa njia moja tu. [muziki]
- 6:28>> Huwezi tumia mkono hadi utumie hiyo
- 6:30sehemu mganga
- 6:31>> usinifundishe kazi. Dawa inabidi
- 6:34[muziki] iingie ndani zaidi. Hivyo ni
- 6:36lazima iingizwe kupitia ndizi yangu tu.
- 6:39Hakuna njia [muziki] nyingine.
- 6:41>> Samahani kama nitakuwa msumbufu
- 6:44ila basi hata [muziki] ingiza kwa mikono
- 6:46au? Sikiliza maagizo yangu mwanamke.
- 6:49Unadhani sijui kama kuna mikono?
- 6:51>> Vipi kama nikipaka ndizi ya mume wangu
- 6:53kwa siri hafu nikafanya [muziki] naye si
- 6:55dawa itafanya kazi?
- 6:57>> Unataka nikuachie kiringe sio?
- 7:01>> Sawa. Ila itabidi nikafikirie [muziki]
- 7:03kwanza nikipata jibu nitakuja.
- 7:06Ni kweli nataka dawa ya mganga ili
- 7:09kumfanya mume wangu asikumbuke tena hapa
- 7:11nyumbani.
- 7:13Lakini kwa nini ipakwe na mashine ya
- 7:14mganga au mganga amenitamani? Hivi
- 7:18inawezekanaje dawa ipakwe kwa kufanya
- 7:20tendo?
- 7:21Nikubali au nikatae?
- 7:25>> Mwanangu? Kwa nini mapema hivi? Ila mimi
- 7:28siamini kama umeondoka mwanangu. inabidi
- 7:32ukubali tu mama Joseph
- 7:36aliyetoa taarifa hizi ni mke wake
- 7:39mwenyewe. Ndio. Hiyo ni sababu tosha
- 7:42inatupasa kuziamini taarifa hizi za
- 7:44kusikitisha.
- 7:45>> Joseph umeshagundua tayari mjomba yako
- 7:48na mkeo sio watu wazuri kwako.
- 7:50>> M
- 7:51>> sasa kwa nini huchukui hatua? Kaka
- 7:53chukua hatua haraka sana. Acha kuigiza
- 7:56wewe ni maskini huku ukishuhudia
- 7:58waziwazi penzi la mkeo na mjomba wako.
- 8:01>> Tulia mkuu
- 8:02>> m
- 8:02>> nataka kuwapa funzo ambalo halijawahi
- 8:04kufundishwa dunia mzima. Usinione mimi
- 8:06ni bwege. Kaka nipe macho na masikio
- 8:09[kicheko]
- 8:09yajayo yanafurahisha.
- 8:12[muziki]
- 8:12>> Umebadilika sana mke wangu. [kuimba]
- 8:17Tamaa ya [muziki] mali imekubadilisha.
- 8:22Nauliza
- 8:23utu wako uko wapi? Heshima [muziki] yako
- 8:26imeenda wapi? Ahadi zako tamu ziko wapi
- 8:30mke wangu?
- 8:33Maneno yale tuliyosema
- 8:36>> mganga nimekubali [muziki] unipake hiyo
- 8:38dawa
- 8:39ila nina swali.
- 8:42>> Haraka haraka
- 8:44haraka haraka.
- 8:45>> Utanipaka hiyo dawa kwa muda wa siku
- 8:47ngapi?
- 8:49>> Kwa muda wa mwezi mmoja. kurudi
- 8:53alikotoa
- 8:56>> umebadilika [kuimba]
- 8:57sana mke [muziki] wangu
- 9:01tamaa ya mali imekubadilisha [muziki]
- 9:05nauliza
- 9:08>> mganga najiona mwenye hatia kushiriki na
- 9:12wewe. Nimemkosea sana mume wangu. Mume
- 9:15wangu hajawahi kunikosea kwa kitu
- 9:17chochote kile. umegundua baada ya
- 9:20kufanya tayari maji ukishayavulia
- 9:22[muziki]
- 9:22nguo huna budi kuyaoga
- 9:25[kicheko]
- 9:29kesho mapema sana nitahamia [muziki]
- 9:30kwenu nitakaa hapo hadi umalize masharti
- 9:34jiandae kabisa [muziki] tutafanya kila
- 9:36siku hata ukiwa kwenye siku zakuniambia
- 9:41mwanzo masharti gani hayo ya kuja
- 9:44nyumbani najuta sana kuja hapa kwak
- 9:50Baby nikuambie kitu.
- 9:52>> Ndio niambie wacha kulia malkia wangu.
- 9:56Kumbuka tuna kila kitu sasa
- 9:58>> kuna muda nahisi mume wangu bado
- 10:00anaishi. Hivyo nilihisi atagundua
- 10:02tulichomfanyia.
- 10:05[muziki]
- 10:09>> [muziki]
- 10:16>> Hivyo nilienda kwa mganga
- 10:18>> kaka
- 10:18>> m ni kama kumbukumbu zangu zinaanza
- 10:20kupotea hivi acha masiara basi ila
- 10:25kumbuka ushauri wangu kuhusu mkeo na
- 10:27mjomba wako. Mke wangu gani na mjomba
- 10:30wangu gani kaka unanitania au upo
- 10:33serious? Hujui kama una mke mzuri,
- 10:35nyumba, magari na biashara kibao.
- 10:38Sikuelewi unazungumzia nini. Mi bado
- 10:40sijaoa na pia sina nyumba wala biashara.
- 10:44Wewe umepoteza kumbukumbu? [muziki]
- 10:47Nina taarifa njema mrembo. [mikoromo]
- 10:49Mumeo ameanza kupoteza kumbukumbu kama
- 10:51ulivyotaka.
- 10:52>> Sitaki tena dawa zako. Mrudishe mume
- 10:55wangu kama alivyokuwa mwanzo.
- 10:57>> Haiwezekani kwa sasa. Kiufupi huwezi
- 11:00kubadili kitu. Na pia muda wa kazi
- 11:03umefika.
- 11:07Basi tufanye haraka mpenzi wangu
- 11:09atakuja. Una mpenzi mwingine tofauti na
- 11:12mumeo?
- 11:13>> Mjomba wa mume wangu.
- 11:17>> Umemsaliti mume wako ukaona haitoshi?
- 11:21Umeamua unisaliti na mimi mjomba yake?
- 11:24Kwa nini una roho ya kishetani? Wewe
- 11:26mwanamke?
- 11:27>> Hapana kipenzi huyu ndio ametusaidia
- 11:30kupoteza kumbukumbu zote za mume wangu.
- 11:33[kicheko]
- 11:33Sijakusaliti ila nilikuwa nakamilisha
- 11:35masharti.
- 11:36>> Mzee unafoka sana. nirudishe kumbukumbu
- 11:39za mume wake huyu binti ili aje kuwatoa
- 11:42kwenye nyumba yake.
- 11:47Hapana hapana nimekosea sana ila nina
- 11:50swali nataka jibu lake.
- 11:53Uliza utajibiwa
- 11:56hizo hiyo tiba unaifanyaje huko
- 11:58chumbani?
- 12:00Acha wasiwasi mzee. Kwani wewe huyu ni
- 12:02mkeo?
- 12:04Hapana sio.
- 12:06nataka nipikiwe ugari na wewe leo
- 12:09ukikataa narudisha kumbukumbu za mwenye
- 12:11nyumba na mkebadilika
- 12:15sana
- 12:15>> nikiwa mkubwa nitaoa [muziki] mwanamke
- 12:17mzurajenga [kicheko]
- 12:20nyumba kubwa na nitamiliki biashara
- 12:22nyingi sana [muziki]
- 12:25uchu wako upo wapi
- 12:28heshima yako
- 12:31imeenda [muziki]
- 12:32wapi
- 12:34ahadi zako tamu ziko [muziki] wapi
- 12:40Alikua tajiri huyo [muziki] sa hivi kawa
- 12:43unavyomuona.
- 12:47>> Jioni nitaenda kwa mke wake [muziki]
- 12:48nijue kinachoendelea. Na wewe shoga
- 12:50yangu unavaaje kanga kariakoi?
- 12:53[kicheko]
- 12:55[muziki]
- 12:56Urudi mabaya yote
- 13:00>> ulisema mume wangu kapoteza kumbukumbu.
- 13:02Sasa kwa nini bado unataka nikupe kila
- 13:03siku? [muziki]
- 13:04>> Nilikuambia dawa itafanya vizuri zaidi
- 13:06ikipita mwezi mmoja.
- 13:09Kumbe wewe ndio umesababisha mumeo awe
- 13:10kichaa. Umemuona anapita mtaani kuokota
- 13:13vyupa? Una raha gani mwenzako
- 13:15anavyoteseka kule kwenye jua?
- 13:25>> Sitaki mtu mwingine apate shida kisa
- 13:26mimi. Mwachie huyo mwanamke.
- 13:28>> Huyu namkunywa kama soda na wewe
- 13:30ukinisumbua
- 13:32nitakufanya kuwa mirinda ya baridi.
- 13:35Imbadilika sana [muziki] mke wangu
- 13:40tamaa ya mali [muziki] imekubadilisha
- 13:42[kuimba]
- 13:44nauliza
- 13:45utu wako [muziki] upo
- 13:48>> mume wangu naomba unisamehe nimeshajuta
- 13:51tayari sina raha tena maisha yangu yote.
- 13:57Nina siku ya pili sasa sijala wala
- 14:00siskii hamu ya kula. Nimeingia sehemu
- 14:03nisiyoweza kujitoa.
- 14:05[mikoromo]
- 14:06Acha kujiliza ulitaka mwenyewe?
- 14:09Chagua unaenda wapi leo. [kicheko]
- 14:14[mikoromo]
- 14:18Naenda kwa mume wangu. Hamnigusi leo.
- 14:21[mikoromo]
- 14:22Mtajua wenyewe mtanifanya nini.
- 14:26Mume wangu nisamehe turudi nyumbani.
- 14:30>> Toka hapa. M sina mke acha kujipendekeza
- 14:33kwa watu. [kicheko]
- 14:40[muziki]
- 14:48[muziki]
- 14:52[mikoromo] Mama nimeharibu vibaya sana
- 14:55hata sistahili kusamehewa.
- 14:57Usiseme hivyo mwanangu
- 14:59shida ni nini?
- 15:01>> Sijui nifanye nini.
- 15:05[mikoromo] Nimemfanya mume wangu asahau
- 15:07kila kitu.
- 15:12[mikoromo]
- 15:14Na nyumbani siwezi kwenda tena. Kuna
- 15:16mjomba wa mume wangu na mganga.
- 15:21Sawa mwanamke [muziki] usijihisi vibaya.
- 15:24Tutamleta huyo mumeo na tutaishi naye
- 15:26[muziki] hapa.
- 15:28>> Kweli mama.
- 15:30>> Eh
- 15:33>> mume wangu kula taratibu usijepaliwa.
- 15:36>> Sina mke mimi. Kwa nini unasahau wewe
- 15:38mwanamke? Kama unanitaka nitongoze.
- 15:43>> Ngoja niwaache mtongozane tena.
- 15:54>> [kicheko]
- 16:00[kicheko]
- 16:02>> Joel naamini ushanikimbuka eti
- 16:06>> huwezi huwezi [muziki]
- 16:07>> acha tamaa usije ukakotea milele
- 16:11rudi kama zamani tamaa zinakuvuta pabaya
- 16:22>> [mihemo]
- 16:25[kicheko]
- 16:28>> Mumeo anaanza kurudisha kumbukumbu.
- 16:32Twende ndani binti ukamalizie masharti
- 16:35ili asikumbuke milele.
- 16:39Mke wangu kwa nini nimevaa nguo hizi
- 16:42chafu?
- 16:44Nini kimenipata na kwa nini hatupo
- 16:47nyumbani?
- 16:48>> Mjomba unaweza kusema kumenitokea nini
- 16:51maana sikumbuki chochote kile. Mume
- 16:53wangu nisamehe sana mimi na huyu mjomba
- 16:56wako tuli
- 16:58>> usimsikilize huyu mwanamke ni muongo.
- 17:03>> Naongea ukweli mimi na mjomba wako
- 17:06tulipanga kukusaliti.
- 17:07>> Kunisaliti ili iweje?
- 17:09>> Ili tuchukue mali zako zote.
- 17:13>> Umebadilika sana [muziki] mke wangu.
- 17:19ya imekubadilisha
- 17:22[muziki] na
- 17:23>> umeshachelewa kijana
- 17:25>> nyumba na biashara zako zote ni zangu
- 17:27sasa
- 17:28>> hapo ndio akili yako ilipoishia [muziki]
- 17:30tutaona baada ya siku tatu kitatokea
- 17:32nini
- 17:34hakuna anayeruhusiwa kuingia humu ndani
- 17:38lakini hapa ni nyumbani kwangu kwani we
- 17:40wewe mlinzi hunijui
- 17:43mlinzi anakujua lakini hakujui kama
- 17:46mwenye kumiliki hii nyumba
- 17:48mke wangu wangu ameomba msamaha [muziki]
- 17:50nimemsamehe
- 17:52lakini wewe umekataa
- 17:54niombe msamaha mimi nishakuwa tajiri
- 17:56naombaje msamaha
- 18:02mbona upo kama zuzu nenda kawatoe ndanu
- 18:05[kicheko]
- 18:06wewe ndio mimi ungeweza nenda kalime tu
- 18:09mzee
- 18:13>> nashukuru sana kwa kunisamehe mume wangu
- 18:18>> usijali
- 18:18Naamini na mama atafurahi sana kuona
- 18:21tupo pamoja.
- 18:23>> Karibu sana mwanangu. Hata siamini kama
- 18:26ni mzima.
- 18:29>> Mimi ni mzima wa afya. Mama
- 18:32>> umebadilika sana mke [muziki] wangu.
- 18:37Tamaa ya mali imekubadilisha.
- 18:41Nauliza [muziki]
- 18:43>> utu wako upo wapi?
- 18:47>> Heshima yako
- 18:49imeenda wapi?
- 18:51H
About this transcript
This page contains the full transcript of TAMAA YA MKE WANGU | FULL MOVIE | FILAMU MPYA YA KISWAHILI 2026 by MOYO WA SIMULIZI, generated from the public captions YouTube serves with the video. The transcript has 1,723 words across 394 segments, with the original timestamps preserved so you can click any line to jump to that moment in the embedded player.
What you can do with it
Use the transcript to take notes, quote the speaker, build a study guide, generate a summary with ChatGPT or Claude via the YouTube Summary tool, or export it as a timed subtitle file with YouTube to SRT. You can also re-open it in the transcriber to choose a caption track available on the video.
Free YouTube transcript tool
YouTube2Text is a free YouTube transcript generator — no signup, no daily limit. Paste any YouTube link and get the full transcript instantly, with timestamps, click-to-jump, caption language selection, AI prompts for ChatGPT, Claude, and Gemini, and exports to TXT, SRT, VTT, or Markdown.