YouTube2Text

Mkenya Adhalilishwa Mbele Ya Waziri Mkuu Tanzania? Kauli Yake Yazua Mjadala Mkubwa — Transcript

by MIZUKA MEDIA · 1,085 words · 216 segments · language en · Watch on YouTube

Full transcript

  1. 0:00Fikiria kuishi maisha yako yote
  2. 0:02Tanzania, kuzaliwa hapo, kukulia hapo
  3. 0:04lakini ghafla unaambiwa wewe sio raia.
  4. 0:07Na mbaya zaidi unajaribu kujieleza mbele
  5. 0:09ya waziri mkuu alafu mambo yanageuka
  6. 0:11kuwa aibu kubwa. Hii ndio stori ya John
  7. 0:13Haron Muluri mkenya kwa asili lakini
  8. 0:15maisha yake yote yapo Tanzania na sasa
  9. 0:18analia haki mbele ya serikali ya
  10. 0:19Tanzania. Lakini kilichotokea mbele ya
  11. 0:21waziri mkuu kimeacha watu wengi na
  12. 0:23maswali mengi. Je kweli alitendewa haki
  13. 0:25au kuna kitu kinafichwa? Sasa sikiliza
  14. 0:28vizuri hii story. John Haron Mulaguri
  15. 0:30anasema yeye ni mkikuyu lakini babu yake
  16. 0:32alihamia Tanzania miaka ya nyuma. Kwa
  17. 0:35maana hiyo John amezaliwa Tanzania,
  18. 0:37amekulia Tanzania na anaamini kabisa
  19. 0:39kuwa Tanzania ndio nyumbani kwake.
  20. 0:41Lakini changamoto inaanza pale kwenye
  21. 0:43documents uraia, vitambulisho na haki
  22. 0:45zingine za msingi. Anasema kwa miaka
  23. 0:48mingi amekuwa akizungushwa na maafisa wa
  24. 0:49serikali akinyimwa haki na maisha yake
  25. 0:52kuwa magumu sana. Sasa angalia hii video
  26. 0:54tena uisikize kwa makini. maanake hii
  27. 0:56ndio moment ambayo John alisimama mbele
  28. 0:58ya waziri mkuu akijaribu kujielezea hali
  29. 1:01yake.
  30. 1:02>> Kwa jina naitwa Harun John Mlaguri.
  31. 1:05Kabila yangu ni Mkikuyu. Babu yangu
  32. 1:08alikuja mwaka 1992
  33. 1:11baada ya uhuru wa Tanzania
  34. 1:14na ndio mwanzilishi wa kanisa la
  35. 1:16Wadventista wa Sabato hapa Mpanda.
  36. 1:20Lakini nimekuwa nikisumbuliwa na maafisa
  37. 1:23usalama
  38. 1:24na hivyo kukosa haki ya kumiliki kiwanja
  39. 1:27changu. Na hivyo kila nikienda ardhi
  40. 1:31wananisukumia niende kwa watendaji na
  41. 1:33watendaji nao wanasema leta namba ya
  42. 1:35Nida na namba ya Nida sina. Lakini hata
  43. 1:38hivyo
  44. 1:40ninachokiparata wanasema hakitoshi.
  45. 1:44Kwa hiyo eneo langu linaonekana kama
  46. 1:46vile nimedhulumiwa
  47. 1:49na nimeletewa barua za kisheria niondoke
  48. 1:53katika eneo hilo ninaloishi kwa sababu
  49. 1:55mpango mji ulinikuta hapa. Ni eneo gani?
  50. 1:58>> Ni Kasimba Misengeleni.
  51. 2:00>> Afisari unalifahamu hili jambo?
  52. 2:06Anasema mlimkuta.
  53. 2:09Mheshimiwa waziri mkuu huyu bwana kama
  54. 2:12alivyojitambulisha ni mkikuyu sio
  55. 2:15Mtanzania. Kwa mujibu wa sheria za ardhi
  56. 2:18za Tanzania ardhi inamilikiwa na
  57. 2:20Watanzania. Kwa hiyo kigezo kimojawapo
  58. 2:23hicho ndio kimemtoa.
  59. 2:28Hebu tuambie yeye sio raia. Babu yangu
  60. 2:32alipewa uraia na CCM.
  61. 2:36Alikuwa raia kabisa na alikuwa
  62. 2:37mwanachama na alikuwa na kadi ya chama.
  63. 2:39Alitoka Kenya.
  64. 2:41Ah walikuja wakikuyu wengi sana hapa
  65. 2:44wakina mzee Mwangi. Mmojawapo mzee
  66. 2:46Mwangi ana gesti hapo anamiliki gesti
  67. 2:49bahati mbaya ameshafariki na wakikuyu
  68. 2:52baadhi nimewaona wako hapa wanaweza
  69. 2:53wakaja wakatoa ushahidi. Kwa hivyo sasa
  70. 2:56haki yangu ya kumiliki ardhi imekuwa ni
  71. 2:59shida. Kila nikienda huku wananisukuma.
  72. 3:01Nikienda huku huwa wananiambia jana
  73. 3:03nimeenda kwa mtendaji ananiambia naenda
  74. 3:04polisi. Nikasema mimi siendi polisi kwa
  75. 3:06sababu nina nina document za nyumba na
  76. 3:09ardhi. Wewe ni raia?
  77. 3:12>> Eh
  78. 3:12>> mimi ni raia kwa sababu ni mzaliwa. Ni
  79. 3:14raia wa kuzaliwa. Nimezaliwa hapa na
  80. 3:17nimezaliwa kasimba. Na watu wote
  81. 3:19wananifahamu.
  82. 3:22Wewe ni mzaliwa. Mimi ni raia mzaliwa.
  83. 3:27Kila keti cha uraia sina. Ndio maana
  84. 3:29nimekuja utoe maamuzi kama ni ya
  85. 3:32kunisafirisha kuniondoa nchini hapa.
  86. 3:35Niko tayari kuondoka kwa sababu
  87. 3:37>> wewe ni raia. Mimi ni raia mzaliwa.
  88. 3:42Ni raia mzaliwa.
  89. 3:44>> Una kitambulisho cha taifa?
  90. 3:45>> Kitambulisho cha taifa sijakipata.
  91. 3:47Nimeshaenda kujiandikisha lakini
  92. 3:48sikipati.
  93. 3:51Nimejiandikisha karibu mara mbili. Ofisi
  94. 3:53ya kata Ilembo
  95. 3:56leo nataka nipate uamuzi wa kuondoka.
  96. 4:01>> Haya nimekupata
  97. 4:03nyinyi nyinyi mkoa huu
  98. 4:06mkoa wa Katavi na mikoa jirani
  99. 4:11tuna
  100. 4:13tuna mambo ya kihistoria
  101. 4:15yanayohusiana na maswala ya uraia.
  102. 4:19Lakini naomba kwa sababu nilishakuwa
  103. 4:20waziri wa mambo ya ndani nifafanue mambo
  104. 4:22machache tu.
  105. 4:25Moja
  106. 4:26>> nisikilize vizuri ndugu yangu jina
  107. 4:28unaitwa nani?
  108. 4:29>> Harun John Mlaguli lakini babu yangu
  109. 4:32>> naitwa Harun John.
  110. 4:34>> Eh Harun John nisikilize vizuri
  111. 4:37kwa Tanzania.
  112. 4:39Tanzania
  113. 4:42ni tofauti na na
  114. 4:46Kenya ni tofauti na Marekani ni tofauti
  115. 4:48na ni tofauti na baadhi ya nchi kadhaa
  116. 4:51ambazo
  117. 4:53>> mtoto akizaliwa katika ardhi ya nchi
  118. 4:56hiyo husika
  119. 4:58automatically anakuwa raia.
  120. 5:03Lakini kwa Tanzania
  121. 5:06kwa mujibu wa sheria zetu za uraia
  122. 5:25kwa mujibu wa sheria zetu za za uraia za
  123. 5:28Tanzania
  124. 5:30mtu hawi raia kwa kuzaliwa katika ardhi
  125. 5:34ya Tanzania.
  126. 5:36Nawapa mfano mmoja mdogo.
  127. 5:39Kwa mfano mheshimiwa naibu waziri hapa
  128. 5:43angekuwa balozi
  129. 5:46angekuwa balozi wa Tanzania nchini taja
  130. 5:50jina lolote tu au tutaje rafiki zetu.
  131. 5:53Angekuwa balozi wa Tanzania nchini
  132. 5:58Burundi
  133. 6:00alafu watoto wake wakazaliwa huko kwenye
  134. 6:03hiyo ardhi.
  135. 6:05Pamoja na kwamba yeye ni raia wa
  136. 6:07Tanzania na yuko ubalozini.
  137. 6:11Wale watoto wakizaliwa nje ya hapa
  138. 6:14wakirudi lazima wakifikisha miaka 18
  139. 6:19lazima
  140. 6:21wa wale kiapo kwamba
  141. 6:25wanaurithi uraia wa baba yao.
  142. 6:30Na yeyote pia akizaliwa ndani ya ardhi
  143. 6:33ya Tanzania kama sio kama baba na mama
  144. 6:36sio raia
  145. 6:39anatakiwa akifikisha miaka 18
  146. 6:42auombe
  147. 6:43aape
  148. 6:46kupewa uraia wa Tanzania.
  149. 6:49Sasa tuna watu wengi ambao wengine
  150. 6:51walikuja baada ya uhuru.
  151. 6:54Wapo wengine kwa mazingira tofauti
  152. 6:57tofauti.
  153. 6:58Wengine wakati wazazi wao walivyokuja
  154. 7:01hapa kama wakimbizi.
  155. 7:03Watoto wale wakazaliwa kabla ya wazazi
  156. 7:05wao kuwa wameshapata uraia.
  157. 7:10Yaani wazazi wao walikuja kuishi hapa
  158. 7:13kama wakimbizi.
  159. 7:15Baadaye wazazi wao wakapewa uraia wakawa
  160. 7:19wakawa watanzania.
  161. 7:21Lakini wakati wanawazaa watoto wao kama
  162. 7:24walikuwa bado hawajapewa ule uraia wale
  163. 7:26watoto wao hawawi raia mpaka na wao
  164. 7:29wauombe uraia.
  165. 7:32Kwa hiyo wapo watoto ambao wanakuwa
  166. 7:34hawana nchi nyingine. Nchi yao ni
  167. 7:36Tanzania ila wao sio Watanzania. Kwa
  168. 7:37hiyo hayo mambo nadhani wenzetu
  169. 7:41wanaohusika na na wote wenye mambo ya
  170. 7:43aina hiyo wanatakiwa wafanyie
  171. 7:47hayo mambo yanatakiwa yafanyiwe kazi.
  172. 7:49Sasa jambo lako tumelipokea kwa sababu
  173. 7:52sheria huwa haitakiwi ipindishwe kwa
  174. 7:54maelekezo.
  175. 7:56Sheria haipindishwi kwa maelekezo. Kwa
  176. 7:59hiyo hilo jambo lake huyu
  177. 8:04tuwakabidhi wenzetu wanaohusika ili
  178. 8:06tupate ushauri. Mheshimiwa mkuu wa mkoa
  179. 8:09utapata ushauri ili tuweze kushauriana.
  180. 8:11Lakini nimelipokea
  181. 8:13tutapata ushauri kwanza kwa kupata hizo
  182. 8:16hizo rekodi
  183. 8:20>> jamani si tumeelewana nimejaribu
  184. 8:21kufafanua kidogo tu.
  185. 8:23>> Kama ulivyoona mambo hayakuwa rahisi
  186. 8:25kabisa. John alikuwa anajaribu kuelezea
  187. 8:27kuwa yeye si mgeni bali ni mtu ambaye
  188. 8:29maisha yake yote yako Tanzania. Lakini
  189. 8:31swali kubwa linabaki, je sheria za uraia
  190. 8:34zinaangalia historia ya familia au
  191. 8:36mahali ulipozaliwa na kukulia? Fikiria
  192. 8:38mtu hana mahali pa kuita nyumbani. Kenya
  193. 8:40anaonekana kama mgeni. Tanzania pia
  194. 8:43anaambiwa sio raia kamili. Hii sio siasa
  195. 8:45tu. Haya ni maisha ya mtu, ndoto zake na
  196. 8:47mustakabali wake. Mitandaoni wakenya
  197. 8:50wengi wanaona kama John anatendewa
  198. 8:52vibaya. Lakini upande wa Watanzania
  199. 8:54baadhi wanasema sheria lazima ifuatwe na
  200. 8:56sio kila mtu anaweza kuitwa raia bila
  201. 8:58utaratibu. Na hapa ndipo mjadala mkubwa
  202. 9:01unaanza. Je utu unazidi sheria au sheria
  203. 9:04lazima ishinde hata kama inaumiza? Na
  204. 9:06sasa swali kubwa zaidi ni kama wewe
  205. 9:08ungekuwa nafasi ya John ungechagua
  206. 9:10upande gani? Niachie maoni yako kwenye
  207. 9:12comment section. Je anastahili kuitwa
  208. 9:14raia wa Tanzania au sheria ichukue
  209. 9:16mkondo wake? Na usisahau stori kama hizi
  210. 9:19ndio zinaonyesha ukweli wa maisha ya
  211. 9:20watu wengi ambao hatuwaoni. Eh bwana
  212. 9:22mimi naitwa Rich Mizuka. Sauti ya vijana
  213. 9:24wa Afrika Mashariki. Namba moja ni mimi.
  214. 9:27Namba mbili ni mimi. Namba tatu ni mimi.
  215. 9:29Nne na tano nawaachia nyinyi hapo. Eh
  216. 9:31bwana. Eh tukutane kwenye video ijayo.

About this transcript

This page contains the full transcript of Mkenya Adhalilishwa Mbele Ya Waziri Mkuu Tanzania? Kauli Yake Yazua Mjadala Mkubwa by MIZUKA MEDIA, generated from the public captions YouTube serves with the video. The transcript has 1,085 words across 216 segments, with the original timestamps preserved so you can click any line to jump to that moment in the embedded player.

What you can do with it

Use the transcript to take notes, quote the speaker, build a study guide, generate a summary with ChatGPT or Claude via the YouTube Summary tool, or export it as a timed subtitle file with YouTube to SRT. You can also re-open it in the transcriber to translate the transcript into 100+ languages.

Free YouTube transcript tool

YouTube2Text is a free YouTube transcript generator — no signup, no daily limit. Paste any YouTube link and get the full transcript instantly, with timestamps, click-to-jump, translation to 100+ languages, AI prompts for ChatGPT, Claude, and Gemini, and exports to TXT, SRT, VTT, or Markdown.